Monday, August 1, 2011

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA WAISLAM WENZANGU KOTE ULIMWENGUNI

Kama tunavyofahamu leo Waislam wote ulimwenguni tumeanza mfungo wa  mwezi mtukufu wa Ramadhani, hivyo nachukua nafasi hii kuwatakia kheri na mfungo mwema.... RAMADHANI KAREEM

No comments:

Post a Comment