Tuesday, August 30, 2011

ANSWAAR SUNNA WALIVYOSWALI EID YAO LEO KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI

Sheikh Juma Polli Amir wa Answaar Sunna Tanzania akiongoza swala ya Eid El-fitri leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar Es Salaam
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Dhehebu la Answaar Sunna wakisikiliza mawaidha baada ya swala ya Eid El-Fitri leo katika Viwanja vya Jangwani-DSM

No comments:

Post a Comment