Tuesday, August 9, 2011

R.I.P SAM LOCO EFE

SAM LOCO EFE wakati wa uhai wake
Aliyekuwa muigizaji na mchekeshaji mahiri huko Nigeria SAM LOCO EFE amefariki dunia akiwa Hotelini chumbani kwake alipokuwa ameweka   kambi kwa ajili ya maandalizi ya shooting ya Movie.


Alikuwa mmoja kati waigizaji na wachekeshaji ambao walikuwa wakinifurahisha na kunivutia sana kwa hapa Bongo naweza kumfananisha na King Majuto maana ndo ambae ananivutia sana akifuatiwa na Mzee Small akiwa na Bi Chau pale katiii basi weee utaacha mbavu zako hapo hapo.....


Pumzika kwa amani mzee wetu Tulikupenda sana lakini Mungu kakupenda zaidi

No comments:

Post a Comment