Thursday, August 25, 2011

WAFAHAMU WAIGIZAJI WA KIKE 15 AMBAO NI GHALI HUKO NIGERIA

Msanii kiwango kabisa ni GENEVIEVE NNAJI (Pichani), ambaye hulipwa Naira 2Millions kwa Script

Anaeshika namba mbili ni IDI EDO hapo juu ambae analipwa Naira 1.8 Million kwa Script

PATIENCE OZOKWOR ni namba 3 anachukua N 1.6 Million kwa Script

OMOTOLA JALADE ndo anashika namba 4 ambae ujinyakulia N 1.5 M kwa Script na kuendelea.

Huyu ni KATE HANSHAW kwa upande wake hulipwa N 1Million kwa Script

STELLA  DAMASUS anachukua kiasi chochote ambacho kwa upande wake anaona kinakidhi mahitaji  lakini ni zaidi ya N 1Million

JOKE SILVA ambae hulipwa N 1  Million kwa Script

NGOZI EZEONU nae analipwa N 1Million Per Script

RITHA DOMINIC nae pia N1 Million kwa Script


CHIOMA CHUKWUKA kwa upande wake bila N 700,000 kwa Script hawezi kucheza Movie yako

OGE OKOYE yeye anachukua N 600,00

FUNKE AKINDELE bila N600-700,000 bado hujamuuzisha sura kwenye Movie yako

MERCY JOHNSON ambae ana make  Headlines kwa sasa kutokana na ndoa yake inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni, kwa upande wake analipwa N 600,000 Million

FATHIA BALOGUN hapo juu hulipwa N500,000M kwa Script

UNCHE JOMBO ndo anatufungia ambae analipwa N450,000 M per Script
Kama nilivyoeleza hapo juu, hawa ni waigizaji 15 wa huko Nigeria ambao ni ghali zaidi ya wengine na tumejionea namna ambavyo wanalipwa katika kazi yao hiyo ya uigizaji, na kwa kweli tunaona wenzetu jinsi walivyo na maisha mazuri ya kifahari na ya kujivunia kwa kazi yao kwa kifupi tu tunaona kama si kusikia wakibadilisha magari ya kifahari kila kukicha, mavazi ya thamani yanayowafanya wawe na muonekano maridadi mara zote na mengineyo. Lakini nafikiri haya yanatokana na umakini wao katika kazi wanazozifanya, sasa changamoto ni hapa kwetu bongo sina hakika sana na malipo yao but kwa kweli kwa mavazi tu tunaona pia hapa kwetu wanajitahidi kwa kupiga pamba lakini mengine hali halisi tunaiona, sitaki kusema meeeengi lakini hii tuichukulie kama Changamoto ya kuboresha kazi zetu na kuwa makini.      

No comments:

Post a Comment