Friday, August 19, 2011

WAJUE WAIGIZAJI KUMI WA KIKE WENYE MVUTO NIGERIA

GENEVIEVE NNAJI (32)
Muigizaji ghali wa kike kuliko wote Nigeria na hivi karibuni utamuona katika Movie moja na Angelina Jollie
STEPHANIE OKEREKE (29)
Pamoja na kuwa muigizaji mahiri sana Stephanie pia ni mwanamitindo na alishika nafasi ya pili katika mashindano Most beautiful Girl in Nigeria mwaka 2002

OMOTOLA JALADE EKEINDE (Ameolewa na ana watoto wanne)
STELLA DAMASUS (32)

DAKORE EGBUSON (32)

KATE HENSHAW NUTTAL
CHIKA NANCY IKE

INI EDO (28)
LILIAN BACH (Polish Nigerian) Baba yake ni mwenyeji wa Poland na mama yake ni Mnigeria



RITHA DOMINIC (35)

Katika Tasnia ya Filamu Nigeria kuna waigizaji wa kike zaidi ya 100 ambao kati yao ni warembo na wenye mvuto na huwavutia zaidi wanaume, pamoja na ukweli kuwa kati ya hao kuna ambao tayari wana ndoa zao lakini hiyo hutokana na uzuri na mvuto walionao, hao kumi hapo juu ni wale ambao wana mvuto zaidi.

No comments:

Post a Comment