Sunday, August 28, 2011

NMB YATOA MSAADA WA MAGODORO 40 KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KILWA MKOANI LINDI

Kaimu Mkurugenzi wa H/Wilaya Kilwa Bw Ndumbalo akikabidhi moja ya godoro kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya wilaya Kilwa
Meneja wa NMB kanda ya kusini Bw Thomas Kilongo akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kilwa moja kati ya magodoro yaliyotolewa na Benki hiyo
Mmoja kati ya wauguzi wa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali hiyo akifua mashuka yanayotumika Hospitalini hapo


Habari kwa Hisani ya Mdau Abdulaziz kutoka Lindi



No comments:

Post a Comment