Wednesday, August 17, 2011

MKE WA CHAMELEONE ASEPA NA WATOTO

DANIELA ATIM - MRS CHAMELEONE

SIKU YA NDOA YAO-2008-BINNA CATHEDRAL CHURCH...


Baada ya Jose Chamelone kubadilisha dini na kujiita Japhar Gadhafi Mayanja,imezuka beef kati yake na wife wake Daniela Atim baada ya kuchukua kilicho chake na kusepa na watoto wake Alpha Mayanja na Murcus Abba Mayanja

Daniela aliondoka pande za Seguku wanapokaa na Ghadafi na kusepea pande za Mutungo Biina kwa mjomba wake ikifunguliwa kuwa familia ya Daniela waliitisha press conference na kusema kuwa hawakubaliani na uamuzi wa mkwe wao coz wanajua walifunga ndoa halali kwa dini ya kikristo tena Roman Catholic mwaka 2008....

Uncle wa Daniela ni Padri anaitwa Fr. John Scalabrini amefunguka wanaheshimu sana dini ya kiislam,lakini wasingependa kumuona mtoto wao akilazimishwa kuingia kwenye dini hiyo na kumtaka Ghadafi Chameleone kwenda kusali kama kawa kwenye kanisa la Binna Cathedral walipofunga ndoa na Daniela na kuachana na imani yake hiyo mpya,nao ndio watamruhusu mtoto wao Daniela kutia tena maguu pande za Seguku, nyumbani kwa Ghadafi Chameleon...

SOURCE: Chini ya Carpet

No comments:

Post a Comment