Tuesday, April 5, 2011

Nifahamu blogger wa blog hii....


Hapa ni siku ambayo tulihave fun sana kwa kuchagua mavazi ambayo tuliyapenda presenters wapya wote wa 2011, pale Mr price.. Kushoto ni Basilisa John(presenter wa ujenzi),Catherine(presenter wa FNL), mimi (Kijah) na Co- Host Dominic.
Kijah n' Bi Kidude (one of the famous taarabu singer(estimated 100 years above))

Tulikutana na watu tofauti tofauti ambao walinifurahisha sana na kunifanya nizidi kupenda culture yetu... Km unavyoona nipo na Bi kidude mtu ambaye nilifurahi sana kuspend time naye kwani siku zote nilikuwa na ndoto ya kukutana na bibi huyu. 
  Kupitia blog hii tutapata kutambua na kuelewa kwa undani zaidi kuhusu Afro....means African Music...na wanamuziki wake...unajua ni vipi??????
Dont Forget to keep browsing ..... www.afrokija.blogspot.com