Thursday, August 11, 2011

RAMADHAN KAREEM



ME & MEENA(Airtel Live Presenter)
>

Natumai mnaendelea vema na Swaumu ndugu zangu, tunachukua nafasi hii kwa mara nyingine tena kuwatakia kila la kheri katika mwezi huu, na Mwenyezimungu atujaalie nguvu na imani ya dhati wote kwa pamoja ili tuweze kuumaliza mfungo huu salama

No comments:

Post a Comment