Tuesday, August 9, 2011

KARIBU KWENYE FAMILIA YA EATV WIFI YETU AGNESS

Mr.&Mrs NYEMBERA kila mmoja akiwa na furaha
PATTOO mwenyewe akifungua show yake ya Five Sport wakati Wifi akishuhudia
Eatv Stuff wakisakata Rhumba
Eatv Flowers wakituwakilisha vema kabisa ambao hatukuwepo

Warembo mbona mwamficha huyo mkaka jamaniiii
2gether tunawakilishaaaaaaaaaaaaaaaaa
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi za dhati kabisa kwa Mr.&Mrs Nyembera kwa kuamua na kuthubutu kuwa mwili mmoja, maana wako wengi ambao wanatamani kufikia hatua hiyo lakini wanapatwa na uoga kwa sababu nyingi tu moja kubwa ikiwa ni kutojiamini kwa kuwa bado wanahadaika na ujana na wasikumbuke kuwa ujana ni maji ya moto Dr. Remmy Ongala aliimba kipindi hicho cha nyuma wenye kukumbuka watakubaliana nami...... Lakini hapo ndo kwanza safari imeanza hivyo Busara, hekima na uvumilivu unahitajika sana kwenu ili kufikia maazimio yenu!!!!!
Nawatakia kheri na Baraka katika safari hii ambayo wengi iliwashinda kwa visingizio vingi tuuu japo nina matumaini makubwa kuwa haya hayatatokea kwenu... Mungu Ibariki ndoa hii... Ameeeen

No comments:

Post a Comment