Mwana Afrika Mashariki usikose kuangalia show yako kali na ya kijanja kabisa (THE CHIDY BENZ SHOW ) ambayo leo itakuwa LIVEEE kupitia Ting'a namba moja kwa vijana (EATV) ni leo Alhamis saa tatu Usiku.... Jipange kushiriki kwa kupiga sim, kutuma ujumbe mfupi kwa njia ya Sim ya mkononi na Facebook pia.... Usikoseeee!!!
No comments:
Post a Comment