Wednesday, August 17, 2011

ELIZABETH GUPTA ALIPA MAHALI YA MUMEWE KELVIN

MTOTO MALAIKA
MR&MRS CHUWANG
 Hatimae ndoa ya waliokuwa washiriki wa BBA 2009, ELIZABETH GUPTA na KELVIN CHUWANG imelipa baada ya kupata mtoto wao wa kwanza wa kike waliyempa jina la Malaika.

Blog hii inatoa pongezi kwa wanandoa hao kwa kupata mtoto.

No comments:

Post a Comment