Tuesday, October 2, 2012

BASI LA DAR EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO SEGERA MKOANI TANGA


Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema watu 65 wamenusurika kufa eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express walilokuwa wakisafiria kutoka  Arusha kuelekea Dar Es Salaam kuteketea na Moto.

Picha kwa hisani ya jamii Forum

No comments:

Post a Comment