Msanii
maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati),
akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu
Kkazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii
mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa tena na hivyo mwanadada
huyo ambaye umri wake unaleta utata ataendelea kusota rumande hadi hapo
kesi yake itakapotajwa tena
LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea kunako mahabusu. |
No comments:
Post a Comment