Tuesday, October 2, 2012

MAGARI MAWILI YAGONGANA NA KUWAKA MOTO MBALIZI MBEYA, WATU KUMI WARIPOTIWA KUPOTEZA MAISHA MBUNGE WA VITI MAALUM MH. MARY MWANJELWA ALIKUWEPO KWENYE AJALI HIYO, KATIBU WAKE ATEKETEA KWA MOTO

Fire wakiwa eneo la tukio kwa ajili ya kuzima moto huo
Moja kati ya magari yaloyoteketea kwa moto
Mabaki ya moja kati ya gari lililoteketea kwa moto
Juu na chini pia ni mabaki ya magari yaliyoteketea kwa moto huo.

No comments:

Post a Comment