Friday, October 19, 2012

WAISLAMU WATEKELEZA HADHIMA YAO YA KUFIKA IKULU, SITA WAKAMATWA...!!!


 
Nje ya Ikulu kunavyo onekana kwa sasa
 Baadhi ya waumini wanaodaiwa kutoka kikundi cha dini ya kiislamu wakidhibitiwa eneo la jirani na geti la Ikulu, mapema leo ambapo jumla ya watu 6, walikamatwa.
 Wanadini hao wakiningizwa kwenye gari mara baad aya kudhibitiw mapema leo
 
Baadhi ya waumini wanaodaiwa kutoka kikundi cha dini ya kiislamu wakiwa ndani ya gari la polisi baada ya kudhibitiwa eneo la jirani na geti la Ikulu, mapema leo ambapo jumla ya watu 6, walikamatwa.

No comments:

Post a Comment