Tuesday, October 16, 2012

Bendi ya Skylight na mashabiki lukuki

Wanamuziki wa Bendi ya SKYLIGHT wakishambulia Jukwaa mwishoni mwa wiki katika show ya kukata na shoka kwenye kiota cha THAI VILLAGE Masaki jijini Dar es Salaam. Wanakuwepo hapo Kila Ijumaa kuanzia Saa tatu usiku, punguza Stress za wiki nzima na SKYLIGHT BAND.
Mary Lukas sambamba na SONY MASAMBA wakisakata sebene.
Sebene limekolea kwa mashabiki.
Uzao wa Bongo Star Search binti mwenye kumtoa nyoka pangoni Mary Lukas akiwaimbia mashabiki.
Mary Lukas akimwimbia shabiki.
It's time for the Dance hall.... Aneth Kushaba AK-47 akizungusha mauno.
Aneth Kushaba AK 47 katika hisia kali.
It's Reggae time. Shabiki aliyenogewa na Sauti pamoja na uimbaji wa Mary Lukas, alishindwa kuvumilia nakujisogeza kwenye steji.
Rappa SONY MASAMBA akionyesha ufundi wake katika kucheza Sebene.
Kwaito ilihusika pia.
Palikua hapatoshi kwenye dance floor kama picha inavyoonekana.
Mdau Maurice (wa kwanza kulia) akiwa na Wadau Wapya wa SKYLIGHT BAND. Wa tatu kushoto ni Managing Director wa Open Saint Company Octavian Mshiu na marafiki zake ilikuwa ni mara ya kwanza kuhudhuria Show ya SKYLIGHT BAND.
Warembo walitokelezea huku wakiwa na Glass zao za Amarula.
Blogger King Kif akiwa na mdau mpya wa SKYLIGHT BAND.
Masela wakishow love.
Mdau Eric Ndalu (wa pili kushoto) na washkaji zake nao walitokelezea.
Mdau akipuliza moshi taratibu.

No comments:

Post a Comment