Friday, October 12, 2012

STEPPS INTERTAINMENT YATOA MSAADA SHULE YA BUGURUNI VIZIWI

Ofisa wa Kampuni ya Steps Entertainment wasambazaji wa kazi za wasanii, Mbasha Mkilanya 'kulia' akigawa sehemu ya vinywaji  vilivyotolewa na Kampuni hiyo kwa ajili ya watoto wa shule ya Buguruni Viziwi jijini Dar es salaam. Kampuni hiyo imekuwa ikitoa misaada mbalimbali katika shule hiyo kwa ajili ya kuwa karibu na jamii inayowazunguka.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Steps wakiwa pamoja na wanafunzi wa Buguruni Viziwi jijini Dar es salaam jana
Source:http://bongoweekend.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment