Monday, July 4, 2011

JAMANI WEMA WEE ACHA TUUUU!!!!!


Katika kuonyesha mapenzi ya dhati na mvuto kwa Wapenzi na Mashabiki wa La'aziz wake "DIAMOND" DA PLATINUM" Mrembo anayeongoza kwa kuwa na SKENDO na kuuza katika magazeti kibao hapa BONGO, Mrembo WEMA SEPETU mwishoni mwa wiki alijikuta akipandisha mzuka na kupanda STEJINI kwa lengo la kumpa Sapoti Mpenzi wake huyo katika moja ya SHOW zake......


WEMA akiburudika kwa Mashairi kutoka kwa Mpenzi wake DIAMOND aliyepiga magoti kuashiria kuheshimu na kuthamini SAPOTI anayoipata kutoka kwa MREMBO wake huyo

Lakini yote TISA, KUMI ni hii hapa wakati WEMA akiondoka STEJINI na kuacha Mashabiki wakishangilia kwa shangwe kubwa saanaaaaa!!!


PICHA kwa HISANI ya http://michuzijr.blogspot.com

1 comment:

  1. Aaaah, aibu, ...lakini ndio hivyo tena, kivazi hicho kimekuaziri...labda ndio mbwembwe zenyewe!

    ReplyDelete