Tuesday, July 12, 2011

FM ACADEMIA WAPATA MSIBA MZITO

Band ya Muziki wa Dansi hapa Bongo FM ACADEMIA imepata pigo kubwa baada ya kumpoteza Manager wake BONNY KASYANJU (aliye kushoto kwenye picha) ambae pia ni mdogo wa mmliki wa Bendi hiyo Mzee MARTIN KASYANJU.. Bonny amefariki usiku wa kuamkia leo na atazikwa leo saa 10 Jioni katika makaburi ya Kinondoni.... Mwenyezi mugu aiweke Roho ya Mrehemu Uncle Bonny Mahali pema peponi... AMEEN











No comments:

Post a Comment