Sunday, July 10, 2011

MANYWELE KIMWANA WA TWANGA PEPETA 2011 niiiiiiiiiiiiiiiiii

Muandaaji wa shindano la Manywele kimwana wa Twanga MAIMARTHA JESSE kwa furaha akisubiri kutangazwa kwa mshindi
Mashabiki waliohudhuria siku hiyo pale UBUNGO PLAZA
Majaji wakifuatilia pambano kwa umakini mkubwa
Wanamuziki wa Bendi ya Twanga pepeta wakifuatilia mpambano kabla ya mshindi kupatikana
Kimwana aliyepita HUSNA IDD a.k.a SAJENT akimpongeza mshindi
Hii ndiyo TOP 3 ya  Manywele kimwana wa Twanga
Mdada akiruka juu kwa kushangilia ushindi wa MARY
Mashabiki wakishangilia kwa kuonyesha alama ya namba mbili na dua zao zilipokelewa maana ndie aliyeondoka na ushindi
MAIMARTHA JESSE mratibu wa shindano hilo akimpongeza mshindi
MARY KHAMIS  akionyesha umahiri wake mbele ya Majaji kabla ya kutwaa ushindi
MARIAM MWAKYOMA mmoja wa washiriki ambae ameshika namba nne akionyesha mbwembwe zake mbele ya Majaji
Mshindi wa Manywele kimwana wa Twanga pepeta 2011 MARY KHAMIS akihojiwa na Afrobeat ya EATV
Jaji mkuu wa Shindano AMOS MSANJILA akielezea namna kazi ilivyokuwa nzito mara baada ya kutangaza matokeo
Husna Idd a.k.a SAJENT Kimwana aliyepita akisubiri kumvisha Taji kimwana mpyaa
Hiyo ni TOP 6 ya Manywele kimwana wa Twanga pepeta wakitupa karata yao ya mwisho iliyomtoa mshindi..

No comments:

Post a Comment