Wednesday, July 6, 2011

TWANGA PEPETA WALIVYOSHAMBULIA UKUMBI WA EQUATOR GRILL MTONI KWA AZIZ ALLY

Safu ya wanenguaji wa Twanga Pepeta wakionyesha umahiri wao wa kucheza kwa mashabiki
LWIZA MBUTU muimbaji wa muda mrefu wa Twanga ambae pia ni kiongozi wa bendi hiyo akidhihirisha kuwa bado mkali kwa mashabiki wake
JANETH ISINIKA akiwa na washambuliaji wa kiume wa Bendi hiyo, usikose Fainali ya Manywele Kimwana wa Twanga Pepeta ili upate burudani kali zaidi kutoka kwao

No comments:

Post a Comment