| Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,BALOZI SEIF IDD akiangalia Utengenezwaji wa Fimbo kutoka Oman katika Jumba la ajabu la Beit el Jaib, Unguja |
| Waziri wa Utamaduni wa Oman akitoa hotuba katika ufunguzi wa Tamasha hilo |
![]() |
| Viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa wakiwa wamekaa katika jukwaa la wageni waalikwa wakati wa ufunguzi wa Tamasha |
![]() |
| Mtalii akipata maelekezo kutoka kwa mcheza ngoma za kiutamaduni kutoka Oman |


No comments:
Post a Comment