Sunday, July 10, 2011

HATIMAYE YANGA YATWAA KAGAME CASTLE CUP 2011

Wachezaji wa Simba wakichukua Medali na Zawadi yao ya Ushindi wa Pili
Mashabiki wa SIMBA ziiiiii, hii ni baada ya Yanga kupachika bao
Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni Mh. EMMANUEL NCHIMBI akimkabidhi Nahodha wa timu ya YANGA SHADRACK NSAJIGWA zawadi ya ushindi walioupata kiasi cha Dola za kimarekani Elfu 30
Mashabiki waliofurika uwanja wa TAIFA jijini DSM wakishuhudia pambano la YANGA na SIMBA
Mashabiki wa Timu ya YANGA wakifuatilia Mpambano kwa umakini
Mashabiki wa YANGA wakishangilia mara baada ya Timu yao kutwaa ubingwa

Nahodha wa Timu ya yanga SHADRACK NSAJIGWA akiwa amezungukwa na mashabiki wa timu hiyo wakishangilia Ubingwa walioutwaa
 Chezea YANGA weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!

No comments:

Post a Comment