Tuesday, July 5, 2011

HAWA NDIO NYOTA WA AFRIKAAAAA!!

Wakali kumi wenye umaarufu mkubwa barani AFRIKA wametajwa waking'arishwa na mwanamke pekee YVONE CHAKACHAKA. Katika chati hiyo mwanamuziki AKON kutoka SENEGAL mwenye makazi yake MAREKANI kwa OBAMA ametajwa kuwa namba moja, akifuatiwa na 2FACE IDIBIA kutoka NIGERIA
2FACE IDIBIA kutoka NIGERIA
   Mapacha wawili PETER na PAULO (P-SQUARE)  namba 3



D'BANJI kutoka NIGERIA namba 4
Mwanamama pekee YVONNE CHAKACHAKA kutoka S.AFRICA namba 5
Namba 6 ni JOSE CHAMELEONE kutoka UGANDA
KOFFI OLOMIDE kutoka DRC namba 7
Msanii mwenye Machachari jukwaani AWILO LONGOMBA ameshika namba 8
FALLY IPUPA kutoka DRC namba 9
NAMELESS kutoka KENYA akafunga kazi kwa kushika namba 10

No comments:

Post a Comment