Wednesday, July 13, 2011

EXTRA BONGO KUANGUSHA BURUDANI CLUB MASAI LEO

Baada ya kukonga nyoyo za wabunge katika usiku wa Zantel mjini DODOMA Bendi ya Extra Bongo inatarajia kutoa burudani ya nguvu kwa wakazi wa Ilala pale Club Masai leo hii

Extra Bongo a.k.a wazee wa Kizigo wakiongozwa na ALLY CHOCKY (pichani) wamewataka Mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Show hiyo kwani wamepania kutoa burudani ya nguvu ambayo itakonga nyoyo za mashabiki wote watakaofika kwenye Show hiyo, ambapo baada ya Show hiyo kali Kesho Alhamisi watakuwa katika kiwanja chao cha nyumbani  "MZALENDO PUB"

No comments:

Post a Comment