Tuesday, July 12, 2011

FIRST NATIONAL BANK "FNB" WAFANYA TOUR VISIWA VYA BONGOYO

Ukifika tu Bongoyo unakaribishwa na hicho kibao

Kikubwa ilikuwa ni kwenda kurefresh mind zao tu lakini kama unavyojua picha zina raha yake kwa ukumbusho(Kama unavyoona brothers na Flowers)

The Only One Andreeewwww akifurahia maisha na kuongeza siku za kuishi
Hapo wakiwa kwenye BOAT kuelekea Bongoyo
Baada ya kufika BONGOYO wakafanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kupiga picha za ukumbusho, kama ambavyo unaona
Kila mtu na pozi lake ili mradi tu mambo yanaenda sawa
FNB ni Bank mpya hapa Bongo Wadau  mjiandae kuipokea maana wana huduma nzuri sana... Kwa sasa wako kwenye Training kwa wafanyakazi wao wakijiandaa kuanza kazi Rasmi August mwaka huu. Kama ulivyoona katika picha hapo juu,  ilikuwa ni wiki mbili tangu waanze Training hivyo wakaamua kwenda huko kutembea ili kufahamiana zaidi pia. kwa sasa bado wanaendelea na Training na Bank hiyo itaanza kazi Rasmi AUGUST mwaka huu 

No comments:

Post a Comment