Monday, July 11, 2011

EPIC NATION EVENT ILIVYOFANA NDANI YA COCO BEACH JUMAPILI HII

Umati wa watu waliofuika katika Epic Nation Event ya ZANTEL na EATV&RADIO pande za Coco Beach


CHIDY BENZ na CHIKU K kwa mbali wakiangusha bonge la burudaniiii

Rais wa wasafi DIAMOND "DA PLATINUM" nae akifanya maujanja

NAMELESS kutoka KENYA akisinzilisha mashabiki



No comments:

Post a Comment