Tuesday, July 5, 2011

PUMZIKA KWA AMANI CHARITY TUNDA!!!



Alikuwa mcheshi, mkarimu na mwenye upendo kwa watu, lakini leo hatunaye tena duniani... Naamini ametangulia na sisi tutamfuata.. Sina mengi ya kusema
MWENYEZIMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU CHARITY MAHALI PEMA PEPONI.. AMINA

1 comment: