Tuesday, July 5, 2011

FAINALI YA MANYWELE KIMWANA WA TWANGA PEPETA HIYOOOOOOO

Waswahili husema HAYAWI HAYAWI sasa yamekuwa na asiye na MWANA aeleke jiwe!!!! Ile siku ambayo tuliisubiri kwa hamu kubwa sana ya kumsaka MANYWELE KIMWANA WA TWANGA PEPETA imewadia..... Ni IJUMAA hii JULY 8 2011, ambapo jumla ya VIMWANA kumi watachuana vikali stejini huku MAJAJI wakimtafuta mmoja tu ambae ataibuka kidedea na kunyakua duka la vipodozi lenye thamani ya Tshs mil. 5 kwa kiingilio cha 10,000 tu za kitanzania kwa viti vya kawaida na 15,000 kwa VIP katika ukumbi wa UBUNGO PLAZA.

No comments:

Post a Comment