Monday, April 2, 2012

BROTHERHOOD MULTIMEDIA INAKUJA NA HII

Pichani ni namna T-shirts hizo zitakavyokuwa(Kulia) ni za akina dada na (kushoto) akina kaka
Mpenzi na mfuatiliaji wa Blog hii ambae unapenda kulipuka kwa nyuzi za ukweli zilizoenda shule, Brotherhood Multimedia inakuletea T-shirt kali kwa ajili ya akina dada na akina kaka ambazo zitakuwa na Label ya Brotherhood ikiwakilisha jina la kampuni, hivyo wewe kama mdau  na mpenda mavazi ya ukweli nakupa Tip hiyo ili ukae mkao wa kula na kwa kufahamu namna T-shirts hizo zitakavyopatikana na mengineyo ambayo yameandaliwa na Brotherhood Multimedia endelea kutembelea hapa hapa Bloguni... Karibu

No comments:

Post a Comment