Wednesday, February 1, 2012

TWIGA STARS WATEMBELEA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI VYA IPP


Baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars wakipata maelekezo  ya namna ya kuhariri vipindi mbalimbali vya Eatv,  kutoka kwa mratibu wa vipindi wa Eatv Sophia Proches(mwenye nguo ya pink)  
Wakipata maelekezo kutoka kwa mmoja kati ya wahariri wa vipindi vya Eatv bw. Khalfan  Mwinshehe


Picha ya pamoja na mtangazaji wa 5sport ya Eatv  Patric Nyembera na mtangazaji wa E-news Dominic Nyalifa

Watangazaji mahiri wa vipindi vya michezo Omary kattanga wa Redio One (kulia) na  Amri Masare wa Capital Radio katika picha ya pamoja na Linah Mhando mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu wanawake Tanzania ambae pia ni mjumbe wa kamati kuu ya TFF

Nikajiachia na Boniface Wambura Afisa habari wa TFF na Angetile Oseah Katibu Mkuu wa TFF

Hillary Daud "Zembwela" akimuuliza swali Fatma Omary Nahodha msaidizi wa Twiga Stars 

Boniface Wambura akijibu swali la Zembwela katika kipindi cha Super Mix

Mratibu wa Vipindi Sophia Proches akiendelea kutoa maelezo kwa Twiga Starsakiendelea, kushoto ni msoma habari wa Ea Radio Marygoreth Richard

Maelezo yakiendelea anayeshuhudia Kulia ni mtangazaji wa 5Sport Patric Nyembera
Mmoja kati ya wasoma habari mahiri wa EaRadia Mr. James akiteta jambo na  Kocha Mkuu wa Taifa Stars Charle Boniface Wambura
Mkurugenzi wa Radio One Stereo na Capital Radio Deogratius Rweyunga (wa kwanza kushoto) naye akielezea kuhusu urushwaji wa matangazo ya Radio One kwa wageni hao.

Mkurugenzi wa ITV na Capital TV bwana Machairi Koigi akiewaeza wageni hao wa Twiga Stars namna matangazo ya Televisheni yanavyorushwa.
Kaimu Mkuu wa East Africa Radio Nasser Kingu (mwenye shati la blue) akielezea namna ya vipindi vinavyorushwa kupitia Radio hiyo na kuwatambulisha wageni kwa watangazaji wa super Mix Michael Baruti Na Hillary Daud"Zembwela" ambao pia walipata nafasi ya kuwauliza maswali.
Nasser Kingu akiteta jambo na mmoja wa wachezaji nyota wa Twiga Stars "Mwanahamis" wa kwanza kushoto na anayeshuhudia ni mwandishi wa Magazeti ya Nipashe Somoe Ng'itu









No comments:

Post a Comment