Monday, February 13, 2012

WEEKEND HII ILIKUWA HIVI


Tulianzia pale kijiji cha Makumbusho kwa ajili ya kufanya Links za kipindi changu cha Afrobeat nikiwa pamoja na Crew yangu
Hapo Soundman William Massano akirekebisha mambo ili sauti isikike vizuri, alikuwa akinifunga Clip mic
Maandalizi yakiendelea
Cameraman Tawaqal Khamis nae akifanya mambo yake
Baada ya hapo Jumamosi Crew nzima ya Eatv tukahamia Mzalendo Pub pale kwa ajili ya kujumuika pamoja kupata kinywaji na kubadilishana mawazo, hapo ni Dickson Tegemea(Producer wa Planet Bongo) na Zamzam Muhidin On Air Co-ordinator)
Naona Zamzam anatuonyesha kinywaji chake ili kutudhihirishia kuwa hatumiagi kilevi, mmh cna hakika na hilo... lol!
Mutoto Muzuri mwenyewe ndani ya nyumba(Owner wa hii blog) kwa raha zangu na mie nikajiachia kwa Smile ya ukweliiiiii, kuna mtu ananiambiaga eti nina Smile ya wizi, lol
Mamaa ya Five Connect Prudence Gerald, Dominic Nyalifa kutoka E-news na Patric Nyembera(Pattoo 6) nae akiwakilisha timu ya 5Sports, ila Prude ulipaswa kukaa katikati ya wanaume bhanaaa unamuwekaje mwanaume katikati? hahahahhaa
Mamaa ya Ujenzi Basilisa John (kulia hapo) nae alikuwepo jamani, atakosaje banaaaa
Kutoka Marketing Team Happy (kushoto), Prude na Mutoto muzuri Kijah, ila mpigapicha wetu hapo alitaka kunikata, jamaniiii pendezajeee
Salama J si akamuogesha Dominic sijui ilikuwaje hapa kwa mbali Zamzam akiushangaa mchezo maana alikuwa haelewi nini kilitokea bt hawa ni waarabu wapemba wanajuana wenyewe
Boniluv alimuwakilisha DJ Mackey maana wakati huo Mackey alikuwa kwenye kipindi, heshima nyingi kwako maana alitukaribisha vizuri sana ingawa mwenyeji wetu Mackey hakuwepo.

Watu wengi sana tulijitokeza bt picha zingine zilikuwa mbaya sana si unajua giza so mtu anapiga picha akiwa haoni hivyo anabahatisha tu, alikuwepo Bhoke Egina, Mjukuu wa Ambua(Dullah), Tawaqal Khamis(Cameraman) na wengine kibaoooooooo.

No comments:

Post a Comment