Thursday, February 2, 2012

HII INAITWA KUUVAA UHUSIKA

Mtangazaji wa kipindi cha Hawavumi cha ITV, Zomboko "kulia" akiwa na msanii wake wa wiki hii Fadhili Hussein a.k.a "Coca star" kutoka kikundi cha No Colour Ndima kabla wakijiandaa kwa kipindi

Nimependa tu alivyovaa na nilipoongea nae kuna vitu vilinivutia nahisi atanifaa pia kwenye kipindi changu, hivyo kaa tayari kuona mambo yake sambamba na kikundi chake cha No Colour Ndima (ikiwa na maana Utafutaji mgumu)

No comments:

Post a Comment