Tuesday, February 21, 2012

MAKAMU WA RAIS WA AIRTEL AFRIKA, KITENGO MAALUM CHA MAWASILIANO ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI VYA IPP

Bw, Isack Gamba ambae ni kiongozi wa vipindi Radio one na Mtangaza wa
ITV akiwaelezea jinsi wanavyofanya vipindi na kushirikisha wasilizaji
live katika studio za Radio one sterio jiji dar Mikocheni
Bw Wens Mushi ambae ni Kaiumu Naibu Mhariri wa The Guardian akitoa
maelekezo kwa Makamu wa raisi wa Airtel Afrika kitengo cha mawasiliano
(alieshikilia gazeti) huku Bw Alexander Doll Mkurugenzi mkuu wa
Hill+Knowlton Strategies  (wapili toka shoto) toka  kampuni maalum ya
Mahusiano ya Airtel Afrika akifuatilia kwa undani zaidi.  Anaefuata ni
Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe  Bw Jesse Kwayu pamoja na wadau
wa Airtel nchini Tanzania
Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Airtel Afrika kitengo maalum cha
mawasiliano Michael Okwiri akipokelewa na Bi. Joyce Luhanga Mkuu wa

Kitengo cha Masoko cha IPP (katikati) mara baada ya kuingia katika ofisi

kuu za IPP Mikocheni jijini Dar jana. Mwishoni ni kiongozi wa vipindi wa Radio one na Mtangazaji wa ITV Bw, Isack Gamba akiwaongoza pia.
Mhariri wa gazeti la Nipashe bw. Jesse Kwayu akieleza jambo kwa wageni hao kutoka  Airtel

Bw Wens Mushi ambae ni Kaimu Naibu Mhariri wa The Guardian (aliyeshika gazeti)akitoa

maelekezo kwa Makamu wa raisi wa Airtel Afrika kitengo cha mawasiliano huku Bw Alexander Doll Mkurugenzi mkuu wa Hill+Knowlton Strategies  (wapili toka shoto) toka  kampuni maalum ya Mahusiano ya Airtel Afrika akifuatilia kwa undani zaidi.  Anaefuata ni
Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe  Bw Jesse Kwayu pamoja na wadau wa Airtel nchini Tanzania 

No comments:

Post a Comment