Tuesday, February 28, 2012

ALLAN LUCKY NA HAIKA SAMWEL WALIVYOMEREMETA

Bibi na Bwana Harusi

Bibi Harusi Haika Samwel a.k.a Mrs Allan akiwa na mama mzaa chema

Bwana harusi Allan Lucky (kulia) akiwa na mpambe wake Banan Zorro



Bibi harusi akila kiapo akishuhudiwa na mumewe pamoja na wapambe wao
Kitu cha Twist kimekoleaaaa

Nikiwa na mwenyekiti wa kamati, Mussa Kondo pamoja na mjumbe Zamzam Muhidin



Msosi timeeee

Eatv team Together tukiwakilisha pamoja na mkuu wetu wa vipindi, Lydia Igarabuza ambae amenyoa kama mimi

Kwaitoooooooooooooo

Big man Kim kutoka Eatv na Radio akisababisha burudani

Hawa ya kwao ni Tar 02.06.2012, Kitchen Party ni May 27 na Send off ni May 30... Jiandaeni kwa michango tuuu na nitaendelea kuwajuza kila kitu kupitia hapahapa!! Ni Agnes kushoto na Alexander kulia, hapo kati ni mrembo Irene nadhani anafanya maandalizi ya kuwa mpambe wa Bi. Harusi, hahahhahha

Ua likarushwa bwana na wadada tukajituma kulirukia kama unavyoona

Hatimaye wifi yetu Augenia a.k.a Mrs TC mtarajiwa akalidaka ua na tumeambiwa kuwa ya kwao ni Novemba panapo majaaliwa
Halima a.k.a Amallu, Rehema na mimi
Yohana Set Designer wa Eatv (mwenye shati la draft akiongoza burudani kwa wanakamati)
Kila mtu na mtu wakeeeee (Juu ni TC Soundman wa Eatv na wife wake mtarajiwa Augenia)
Fred Libaba Editor wa kipindi cha ujenzi na Kurasa akiwa my wife wake
Lucy nae mmoja wa wafanyakazi wa Eatv akiwa na shemejiiiiii
Totoz za Lindi hizoo, mimi na mdogo wangu Rehema


Zulianiiiii, juu ni TC na Rehema chini(Pendeza sana jamani)

Vituko pia havikosekan sehemu kama hii ( Juu kabisa ni Dickson Tegemea a.k.a Dick au bwana harusi mtarajiwa kama akifurahia msosi hiviii, katikati ni Xavery matikila EaRadio producer nae akionyesha vituko vyake na chini hapo ni Joseph Munthali a.k.a Kabyemela nae choka mbaya maana alikuwa kwenye kamati ya ulinzi na vinywaji hapo amechokaaaaa
Mzee Zorro alitupa burudani ya nguvu akiwakilisha B-Band.. Mambo yote haya yalifanyika katika ukumbi wa Stallion Mikocheni

No comments:

Post a Comment