Tuesday, February 7, 2012

MNENGUAJI WA LEO

Kwenye kipindi cha Afrobeat tuna Segment ya mnenguaji wa wiki na wiki hii tutakuwa na huyo bibie unayemuona hapo pichani, Anaitwa Asha Sharapova kifaa kutoka African Stars(Twanga pepeta).. hapo sasa ndo anajinadi yeye ni nani na jinsi alivyo mkali wa viumo
Hapo chacha.. ikafika tym ya kutuonyesha yale aliyojinadi hapo ndo anatuonyesha ukali wake ili tuone je ni kweli mkali au maneno matupu??

No comments:

Post a Comment