Friday, February 3, 2012

MAIMARTHA WA JESSE NG'ARI NG'ARI

Maimartha Jesse ambaye ni Mtangazaji machachari wa Luninga hasa vipindi vya muziki wa dansi nchini jana aliweza kutimiza njozi yake katika shughuli yake ya Send Off , iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP jijini Dar es Salaam .
Mcheza Filamu nyota  wa Bongo Movie Aunt Ezekiel naye alikuwa kati ya wakina dada waliompasapoti Maimatha.

Hapa ni katika miondoko ya inuka wakuone mpenzi wangu eee ooh ooh ooh ,isome kimya kimya hahaaa Mai poteza mbayaa.. zaidi endelea hapa

No comments:

Post a Comment