Tuesday, February 7, 2012

KAMA BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI VILEEEE

Najua unachofikiria baada ya kuiangalia hii picha na hii kwa mtu yeyote yule anaweza kuwaza unachowaza, lakini ni tofauti kabisaa, hawa ni watangazaji wa ITV bibie hapo aitwa Hawa Hassan anayekimbiza katika kipindi cha "Shamsham za pwani" na kaka hapo ni mtangazaji wa kipindi cha "Hawavumi".. Nilikutana nao kila mmoja akiwa katika maandalizi ya kurekodi kipindi chake nikavutiwa kuwafotoa

No comments:

Post a Comment