Tuesday, February 14, 2012

TWANGA PEPETA KUWASHA MOTO EQUATOR GRILL LEO

Bendi ya African Stars(Twanga pepeta) leo usiku itatambulisha vibao vyake vipya wakati itakapotumbuiza kwenye onyesho la Valentine day katika ukumbi wa Equator Grill, Temeke jijini Dar Es Salaam.

Onyesho hilo limeandaliwa na keen Arts na Bob Entertainment chini ya Udhamini wa Dodoma wine na Freditto Entertainment. Mkurugenzi wa Bendi hiyo Asha Baraka alisema jana kuwa watatumia onyesho la leo kwa kutambulisha nyimbo zao mpya ambazo pia zitakuwepo kwenye Album yao mpya

Zaidi endelea hapa

No comments:

Post a Comment