![]() |
Presidaa na kitu cha Man Uuuuuuuuuuuuu |
![]() |
Mmiliki wa MarygorethRichard Blog naye akajilia cha kwake kuwakilisha bloggers. |
![]() |
Fadhili nawe mzee wa E-news hupitwiiiiiiii |
![]() |
Happy alilalamika wee mbona Cake yenyewe inachelewa jamaniiii hatimaye zamu yake ikafika. |
![]() |
Presenter na Producer wake (Bhoke&Sam) |
![]() |
Zamzam a.k.a Mzungu hahahhahahhaa |
![]() |
Amallu, Producer wa Skongaaaaaaa |
![]() |
Yaani kama unavyoona hapo mimi ndo nilikuwa wa mwisho kulishwa keki, yaliyojiri zaidi yanakuja, Stay tuned. |
![]() |
Kutoka dawati la 5sport Muandaaji na mtangazaji Patrick Nyembera(Pattoo 6) kushoto na Editor Marco Killo kulia, wakiwa na Birthday boy mwenyewe. |
No comments:
Post a Comment