Friday, March 2, 2012

BREAKING NEWS!!!!

Aliyekuwa mnenguaji wa African Stars (Twanga pepeta) Lilyan Internet, (pichani)ameihama bendi hiyo rasmi na kujiunga na Bendi ya Mashujaa Musica
Akizungumza na Blog hii kiongozi wa Bendi hiyo Max Luhanga amesema Internet amejiunga rasmi na Bendi hiyo na tayari ameshasaini mkataba na Bendi hiyo leo hii.
Kwa taarifa zaidi kuhusiana na habari hiyo endelea kutembelea Blog hii nitakujuza

No comments:

Post a Comment