Tuesday, February 28, 2012

ALLAN LUCKY NA HAIKA SAMWEL WALIVYOMEREMETA

Bibi na Bwana Harusi

Bibi Harusi Haika Samwel a.k.a Mrs Allan akiwa na mama mzaa chema

Bwana harusi Allan Lucky (kulia) akiwa na mpambe wake Banan Zorro



Bibi harusi akila kiapo akishuhudiwa na mumewe pamoja na wapambe wao
Kitu cha Twist kimekoleaaaa

Nikiwa na mwenyekiti wa kamati, Mussa Kondo pamoja na mjumbe Zamzam Muhidin



Msosi timeeee

Eatv team Together tukiwakilisha pamoja na mkuu wetu wa vipindi, Lydia Igarabuza ambae amenyoa kama mimi

Kwaitoooooooooooooo

Big man Kim kutoka Eatv na Radio akisababisha burudani

Hawa ya kwao ni Tar 02.06.2012, Kitchen Party ni May 27 na Send off ni May 30... Jiandaeni kwa michango tuuu na nitaendelea kuwajuza kila kitu kupitia hapahapa!! Ni Agnes kushoto na Alexander kulia, hapo kati ni mrembo Irene nadhani anafanya maandalizi ya kuwa mpambe wa Bi. Harusi, hahahhahha

Ua likarushwa bwana na wadada tukajituma kulirukia kama unavyoona

Hatimaye wifi yetu Augenia a.k.a Mrs TC mtarajiwa akalidaka ua na tumeambiwa kuwa ya kwao ni Novemba panapo majaaliwa
Halima a.k.a Amallu, Rehema na mimi
Yohana Set Designer wa Eatv (mwenye shati la draft akiongoza burudani kwa wanakamati)
Kila mtu na mtu wakeeeee (Juu ni TC Soundman wa Eatv na wife wake mtarajiwa Augenia)
Fred Libaba Editor wa kipindi cha ujenzi na Kurasa akiwa my wife wake
Lucy nae mmoja wa wafanyakazi wa Eatv akiwa na shemejiiiiii
Totoz za Lindi hizoo, mimi na mdogo wangu Rehema


Zulianiiiii, juu ni TC na Rehema chini(Pendeza sana jamani)

Vituko pia havikosekan sehemu kama hii ( Juu kabisa ni Dickson Tegemea a.k.a Dick au bwana harusi mtarajiwa kama akifurahia msosi hiviii, katikati ni Xavery matikila EaRadio producer nae akionyesha vituko vyake na chini hapo ni Joseph Munthali a.k.a Kabyemela nae choka mbaya maana alikuwa kwenye kamati ya ulinzi na vinywaji hapo amechokaaaaa
Mzee Zorro alitupa burudani ya nguvu akiwakilisha B-Band.. Mambo yote haya yalifanyika katika ukumbi wa Stallion Mikocheni

Monday, February 27, 2012

JUMAMOSI ILIKUWA SCHENGEN ACADEMY

Jumamosi kama kawa kama dawa tulitinga ndni ya Hunters Club Kinondoni ambapo kama kawaida Schengen Academy wanakuwa pale kwa ajili ya kutoa burudani kwa wapenzi wa maeneo hayo
Mjomba Ngally kazini kuchukua kila tukio linaloendelea
Vijana kazini
Huyu ni muimbaji mpya kutoka Congo anaitwa Petii maana yake ni mdogo, jamaa ni mkali wa kuimba na kucheza yaani balaaaa
Huyu dada wakati wote yeye anafurahi tuuu mwanzo mwisho
Interview na Kiongozi wa Schengen Academy, Liva Hassan Sultan, kikubwa hasa nilitaka kujua kuhusu uchapakazi wake maana tangu tumefika yeye alikuwa anaimba mpaka mwiisho tofauti na viongozi au Mastaa wengine ambao hupanda Stejini mwishoni wakati show inakaribia kumalizika.. kufahamu nini ameongea endelea kufuatilia Afrobeat
Rapa wa Schengen, jamaa ni mkali sana ila bado tu hajapata umaarufu kama akina Totoo ze bingwa, Kanal Top na wengineo
Mpiga Gitar mwenyewe nasema alikuwa akifanya kazi na bendi kubwa za kongo na hapa bongo hakuna anayeweza kumfikia kabisaaaa, anaitwa Le Mapenzi cjui maana yake nini?? nilimuuliza akaniambia ataniambia siku nyingine na hiyo siku lazima nifanye nae Interview ndo atasema
Massano na Ngally kutoka Eatv wakiwajibika

Unamkumbuka huyuuu? Anaitwa Amina alikuwa mmoja kati ya washiriki wa manywele kimwana wa Twanga pepeta 2011 na kwa sasa yupo Schengen Academy anapiga kazi

IJUMAA TULIWATEMBELEA AKUDO NA MASHUJAA MUSICA

Safari ilianzia pale Mango Garden ambapo kulikuwa na burudani kutoka kwa Akudo Impact vijana wa masauti

Tulianza na Interview na wanenguaji kwa ajili ya Segment yetu ya kwanza kabisa ya Afrobeat inayohusu Mnenguaji ambae anajinadi na kujisifu awezavyo kuhusu ukali wake Stejini baada ya hapo anatuonyesha huo ukali wake aliotuambia, kama unavyoona pichani warembo wakijinadi na kucheza(Huyo mrembo juu anaitwa Nadine ndiye kiongozi wa wanenguaji wa Akudo)

Nadine kikazi zaidi

Anaitwa Ghaisa naye akituonyesha nyonga yake inavyoweza kufanya kazi
Hapo akijinadi
Huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Akudo Impact kila Akudo wanapokuwa wakipiga show lazima na yeye utamkuta.
Baada ya wanenguaji sasa ikafuata zamu ya
Huyu nae ni mdau mkubwa sana wa Afrobeat na Akudo anaitwa Jamillah nae pia alituonyesha umahiri wake wa kucheza na utamuona ndani ya Afrobeat kupitia Segment ya Rusha roho
Akiturusha roho
Mdada kazini
Rapa ya Akudo impact(Kanal Top)
Warembo kazini
Mussa Kondo Producer wa Afrobeat akijiachia na baadhi ya wanenguaji wa Akudo Impact
Baada ya kutoka Mango garden safari ikaelekea Business Park hapo walikuwepo Mashujaa Musica, kama kawa tukaingia na kupiga kazi(Pichani juu ni Charles baba na Jado Field Force)
Charles Baba akiwaongoza wanamuziki wenzake wa Mashujaa
Rais mstaafu Jado Field Force
Vijana kazini
Naye pia yumo
Kiongozi wa Mashujaa Musica Max kushoto na Mrembo hapo anaitwa Martha
Kama kawaida tulifanya Interview na sauti ya Radi akizungumzia kuhusiana na Tungo zake na muziki wake kwa ujumla
Charles Baba nae akielezea kuhusu Nyimbo anazotunga zinakuwa zinalenga nini hasa na suala la muziki kwa ujumla
Mussa Kondo na Rajab Kimanyo kikazi zaidi
Swagaaaaaaaaaa