TANZANIA'S TOP DESIGNERS -ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESSA KUWASHA
MOTO KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA MITINDO NITE 3 USA YANAYO FANYIKA
KILA MWAKA JUMAMOSI YA THANKS GIVING WASHINGTON DC YANAYOANDALIWA NA
DESIGNER MA WINNY NA J &P.
MMOJA WA WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA
MITINDO..MR DICKSON MKAMA ..a.k.a " DMK" AMETHIBITISHA KUWA MWAKA HUU
WAMEJIANDAA KWA SHOW YA AINA YAKE AMBAYO MBALI NA TANZANIA KUNA
MADISIGNER KUTOKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA NA CARIBBEAN PAMOJA NA
SUPER MODELS 16 KUTOKA KAMPUNI YA "IHI MODELING AGENCY",UKUMBI WA
KISASA KABISA NA BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA KIKE
" HAFSA KAZINJA ".
MAONYESHO HAYO YANALETWA KWENU NA MAKAMPUNI YA
J&P ENT, DMK GLOBAL PROMOTIONS,NORTHERN ZONE ENT..NA YATARUSHWA
LIVE NA VIJIMAMBO TV...MC WA USIKU HUO WA MITINDO ATAKUWA SUNDAY
SHOMARI KUTOKA VOICE OF AMERICA! |
No comments:
Post a Comment