Monday, November 26, 2012
Friday, November 23, 2012
DJ CHOKA AFUNGUKA KUHUSU MTOTO WAKE
Thursday, November 22, 2012
MUUMINI AENDELEA KUTANGA TANGA, AIHAMA TENA TWANGA SASA AKIMBILIA VICTORIA SOUND
MLOPELO AFARIKI DUNIA
KIJANA HUYU ANAHITAJI MSAADA WAKO
Wednesday, November 21, 2012
MAPOKEZI YA VIONGOZI WA CCM MTWARA
Maandamano ya pikipiki ya wanachama na wafuasi wa CCM Mkoani mtwara yakiongoza msafara wa Viongozi hao kuelekea Ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara. |
NISHA AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA NEY WA MITEGO
Nisha katika pozi |
Wednesday, November 14, 2012
PUMZIKA KWA AMANI LULU WETU
Pichani juu na chini ni marehemu Lulu Oscar wakati wa uhai wake |
Tuesday, November 13, 2012
TIGO WATOA VIFAA VYA NISHATI YA JUA KWA AJILI YA KUCHAJIA SIMU
Ofisa masoko wa kampuni ya Tigo Jacqueline Nnunduma kushoto akionesha jinsi ya kifaa cha solar kinavyoweza kufanya kazi kulia ni Meneja Mradi wa Kampuni hiyo, Yaya N'dojere. |
ALLY REMTULLAH, DIANA MAGESSA KUWASHA MOTO MITINDO NIGHT 3 WASHINGTON
MATOKEO YA UCHAGUZI WAJUMBE WA NEC YAVUJA
Wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kutoka mkoani Mtwara |
Mh. Wassira akiwa na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo
MATOKEO ya uchaguzi wa wajumbe wa NEC katika kura
zilizopigwa juzi mjini Dodoma katika mkutano wa nane wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) yamevuja.
Huku
Mwenyekiti wa chama hicho kinachoiongoza Serikali, Rais Jakaya Kikwete
akitangaza jana kuwa matokeo hayo yatatangazwa leo pamoja na matokeo ya nafasi
za Makamu Mwenyekiti lakini tayari hadi jana mchana zaidi ya asiliamia 90 ya
wajumbe walisha jua matokeo hayo na kuanza kupongezana huku yale ya wagombea wa
bara yakiwekwa na idadi ya kura zao.
Ingawa
baadhi ya wajumbe wameoneshwa kushangazwa na idadi ya kura alizopata Katibu
Mkuu wa Chama hicho Wilson Mukama kwa kushika nafasi ya 9 huku Steven Wasira akiwaongoza.
Wanaodaiwa kushinda nafasi 10 Zanzibar:
Mbunge wa Uzini, Mohamed Seif
Khatib; Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Ali Mwinyi, Waziri
wa Fedha Zanzibar, Omar Yussuf Mzee, Abdulhakim Chasama na Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Shamsi Vuai Nahodha.
Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Khadija Hassan Aboud, Bhaguanji Mansuria, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na Khamis Mbeto. Wanaodaiwa kushinda Bara Majina ya wajumbe wa Nec walioshinda bara na kura walizopata katika mabano ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira aliyeongoza kundi hilo kwa kupata kura 2,135, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (2,093), Mwekahazina wa CCM, Mwigulu Nchemba (1,967), na Katibu wa UVCCM, Martine Shigela (1,824). Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi (1,805), Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Bernard Membe (1,455), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo (1,414), Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Jackson Msome (1,207), Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (1,174) pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Fenela Mukangara (984). SOURCE:http://mrokim.blogspot.com |
Friday, November 9, 2012
JE UNAFIKIRI HISTORIA KUJIRUDIA, MTOTO WA FAMILIA YA NKWABI KUTWAA TAJI LA EBSS KWA MARA NYINGINE?
Thursday, November 8, 2012
VIONGOZI WA UAMSHO ZANZIBAR WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
SERIKALI YA JAPAN YATIA SAINI MSAADA WA SHS MIL 380 KWA AJILI YA MIRADI MIPYA YA LINDI NA MTWARA
RUSSELL SIMMONS ATOA DOLA ELFU KUMI KUCHANGIA FLAVIANA MATATA FOUNDATION
Wednesday, November 7, 2012
MAMA MZAZI WA RAY C AFUNGUKA KUHUSU MWANAE, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA NA MASHABIKI WA RAY C
HONGERA RAIS BARRACK OBAMA
Monday, November 5, 2012
DOGO ASLAY AWANIA TUZO ZA KORA MWAKA HUU
Sunday, November 4, 2012
REDD'S MISS TZ 2012 NI BRIGITTE ALFRED
Redd's Miss TZ 2012 Brigitte Alfred akia na furaha mara baada ya kutangazwa mshindi wa kinyang'anyiro hicho. |
Friday, November 2, 2012
JB MPIANA KUSINDIKIZA UZINDUZI WA RISASI KIDOLE DAR, MWISHO WA MWEZI
HIVI NDIVYO GARI YA WOLPER ILIVYOCHOMWA MOTO
Gari hiyo inavyoonekana kwa mbele |
Kwa nyuma gari hiyo inaonekana hivi |
NANI KUNYAKUA TAJI LA REDD'S MISS TZ 2012?
Anaitwa EUGENE FABIAN Mbio za kulisaka taji la Miss Tanzania amezianzia Mkoani Mara na baadae kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na anavalia namba 21 kambi ya taifa. |
ANANDE RAPHAEL ni mshiriki namba 11 akitokea Mkoa wa Kilimanjaro akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
|
Huyu ni VIRGINIA MOKIRI ni mshiriki namba 1. Akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu.
|
BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera, akiwakilisha Kanda ya Ziwa. |
BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki namba 26 akitokea Kitongoji cha Sinza na anawakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
Jina lake ni BELINDA MBOGO ni mshiriki na 29 akitoka mkoa wa Dodoma akiwaklilisha Kanda ya Kati |
J |
CAREN ELIAS mshiriki 23 anatokea Mbeya anawakilisha Nyanda za Juu Kusini |
CATHERINE MASUMBIGANA ni mshiriki na 15 akitokea Kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha kanda uya Temeke jijini Dar es Salaam. |
DIANA HUSSEIN amepata namba ya ushirtiki 20, akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
FINA REVOCATUS anavaa namba 12 akitoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, akiwakilisha Kanda ya Vyuo Vya Elimu ya Juu. |
Kutoka Kahama- Shinyanga ni HAPPINESS RWEYEMAMU ananamba 8 anawakilisha Kanda ya Ziwa. |
EDDA SYLVESTER amepata namba 22, akitoka Kigamboni na anaiwakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam |
ELIZABETH DIAMOND anavalia namba 2 akitokea mkoa wa singida, akiwakilisha kanda ya Kati. |
FATMA RAMADHANI nambari yake 25 akitoka chuo cha Uandishi wa habari Arusha ASJ, anawakilisha Kanda ya Elimu ya Juu. |
FLAVIAN MAEDA anavalia namba 10 akitokea kitongoji cha Kurasini mwakilishi wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam. |
KUDRA LUPATOni mshiriki 24 akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
Huyu ni HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa. |
IRINE VEDA anatokea Lindi na kupata namba 16 akiuwakilisha Kanda ya Mashariki |
JESCA HAULE ni mshiriki namba 14, akitoka kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam. |
Kutoka Mji kasoro Bahari-Morogoro ni JOYCE BALUHI akiwa ni mshiriki 13 anawakilisha Kanda ya Mashariki |
MAGDALENA ROY mshiriki nambari 18, kutyoka mkoa wa Iringa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. |
Huyu ni LIGHTNESS MICHAEL anavalia 5, akitokea Dodoma akiwakilisha Kanda ya Kati. |
Kutoka mkoa wa Manyara ni LUCY STEPHANO mshiriki namba 4 akiwakilisha Kanda ya Kaskazini. |
MAGDALENA ROY mshiriki namba 6, kutoka Kitongoji cha Dar City Centre akiwakilisha Kanda ya Ilala. |
Anaitwa Mary Chizi akitokea kitongoji cha Ukonga, anavalia namba 17, akiwakilisha Kanda ya Ilala jijini Dar es Salaam. |
Anaitwa ZUWENA NASIB akiwa ni mwakilishi pekee wa chuo Kikuu Huria OUT. |
Jinalake ni NOELA MICHAEL yupo na namba 27, anashikilia taji la kitongoji cha Tabata na ni mwakilishi tegemeo wa Kanda ya Ilala. |
Rose Lucas ana namba 28 akitokea Mkoa wa Pwani akiwakilisha Kanda ya Mashariki |
VENCY EDWARD ni mshiriki nambari 7, akitoka Mkoa wa Rukwa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini |
WARID FRANK huyu ni mshiriki namba 30 akitokea Arusha ana kuiwakilisha Kanda ya Kaskazini. Unafikiri ni nani anaweza kutwaa Taji la REDD'S Miss Tanzania 2012? Kitendawili hicho kitateguliwa kesho ambapo ndiyo siku ya Fainali za kinyang'anyiro hicho zinazotarajia kufanyika katika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza, ambapo warembo 30 hapo juu watachuana vikali ili kuonyesha kuwa anastahili kuibuka mshindi na kutwaa Taji hilo. Picha na www.mrokim.blogspot.com |
Subscribe to:
Posts (Atom)