Monday, October 3, 2011

NAIBU WAZIRI TAMISEMI (ELIMU) AZINDUA SIKU YA MICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI MKOANI LINDI

Naibu Waziri wa TAMISEMI (ELIMU) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Mh. Kasimu  Majaliwa akizindua siku ya Michezo kwa shule za msingi Mkoani Lindi kwa kupiga Penalty

Mh. Majaliwa akizindua mchezo wa Netball kwa ishara ya kufunga goli

Mh. Majaliwa akisalimiana na wanafunzi wilayani Ruangwa


Wasanii nao hawakubaki nyuma katika kutoa burudani kama unavyoona pichani
Pamoja na uzinduzi, Mh. Majaliwa alitoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa shule za msingi na pichani ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Bi. Hawa Mchopa akipokea msaada wa moja ya magodoro yaliyotolewa kwa ajili ya wanafunzi.
Wananchi wa wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza mbunge wao (hayupo pichani) alipokuwa akizindua siku ya Michezo kwa shule za msingi, hafla iliyofanyika katika shule ya msingi Likangara wilayani Ruangwa






No comments:

Post a Comment