Monday, October 3, 2011

MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF) YASAIDIA KUKARABATI DARASA ALILOSOMA HAYATI MZEE KAWAWA


Hili ndilo darasa ambalo Waziri Mkuu wa kwanza Tanzania, Hayati Rashid Mfaume Kawawa alisomea huko Wilayani Liwale Mkoani Lindi

Mbunge wa viti Maalum mkoani Lindi ambae pia ni mtoto wa Hayati KAWAWA, Bi Zainab Kawawa akikabidhi Hundi kwa mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Kawawa kwa ajili ya ukarabati wa madarasa matano likiwemo alilosoma Mzee Kawawa.

Mh. Zainab Kawawa akiwa na baadhi ya Waalimu wa shule ya Msingi KAWAWA
Mh. Zainab Kawawa akiwa na wanafunzi wa Shule ya msingi KAWAWA
SOURCE: Mdau Abdulaziz Ahmed wa Lindi Press Club

No comments:

Post a Comment