Thursday, October 13, 2011

MAKAMUZI YA EXTRA BONGO NDANI YA MEEDA CLUB SINZA

Wanenguaji wa Extra Bongo wakionyesha uwezo wao

Aisha Madinda akionyesha kipaji chake kingine cha kuimba
Khanga moja nao pia walikuwepo hapo mdada mmoja kati ya wanenguaji wa kikundi hicho akionyesha umahiri wake wa kucheza
Akiendelea kupagawisha mashabiki, nimeshindwa kupost picha nyingi zaidi za hawa wadada kwa leo but nitawaletea muda si mrefu
Hussein Machozi pia alikuwepo katika kuongeza ladha
Rapper mahiri wa Extra Bongo Ferguson akimpagawisha mdada hapo kati.

Kwanza niombe radhi kwa kuchelewa kupost hii habari ni nilipoteza Cable ya Camera niliyokuwa natumia hata hivyo picha hizi nimepata kwa msaada tu wa Mdau wangu mmoja ambae hakupenda nimuandike jina lake lakini naahidi mpaka Jumatatu nitakuwa nimeshakuwekea picha za matukio mengine.. Ila kwa kweli mambo yalikuwa mazuri kama vipi ukipata tym pita pale meeda Sinza kila jumamosi wanakuwepo pale.




No comments:

Post a Comment