| Banza stone na Rogert Hegga |
| Banza Stone(Mwalimu wa waalimu) |
| Mkurugenzi Ally Chocky |
| Jamani huyu ndo anatufanya mashabiki tufurahie burudani, siyo kila siku waimbaji tuuu tuwakumbuke na hawa pia |
| Vijana wakiwa kazini hawana masihara maana ndo wanapopatia heshima hapo |
| Ikafika zamu ya dadaz sasa |
| Mamaa Aisha madinda |
| Mamaa Otilia mutoto ya Lindiiiiiii |
| Ukitaka kuwafaidi zaidi pita pale pande za Meeda kila Jumapili |
| Mashabiki nao wakaingia kati kucheza, maana wanasema utamu wa ngoma nawe uingie ucheze |
| Ikafika tym ya khanga moja sasa, hapo unaambiwa kila mmoja alipagawa maana hawa wadada wa hatariiiiii, mmh |
| Jamani kukaa mbele nako kuna raha na karaha zake, nilimuonea huruma huyu baba sasa kama hakuaga nyumbani ndo balaa linapozuka |
| Jamani kama ni mzuka basi wa huyu dada ni hatarii maana umempanda hadi balaa |
| Mwishoni nikakutana na Aisha, hapo tukisalimiana na kupongezana kila mmoja kwa kazi anayoifanya, tukafanya kainterview kidogo |
| Tukauza sura kama unavyoona then safari ya kurudi home ikaanza |
No comments:
Post a Comment