Monday, October 3, 2011

JAMANI SIYO UCHAWI NI MAZOEZI TUUUUU!!!

Mambo ya Zenji hayo wajameni, watu wengi huwa hawaamini kuwa haya mambo yanawezekana kwa mazoezi tuuu na wanaamini kuwa wanatumia uchawi, sasa sijui ukweli uko wapi bt kwa upande wangu huwa naamini kuwa ni mazoezi tu coz kuna watu wengi ambao nawafahamu na wananithibitishia kuwa hayo ni mazoezi tu na wala hakuna la zaidi.

Picha :kwa Hisani ya ankal michuzi

No comments:

Post a Comment